Sunday, May 12, 2013

COMING NEW HIT KUTOKA KWA JAYKAR FT SULTAN WA PWANI


  • Baada ya ngoma yangu HISIA ZA MOYO kupenya kwenye anga za burudan na kushika nafsi za wengi, sasa nimerud tena ngomaa mpya ambayo nitaitambulisha rasmi mnamo mwezi ujao mwanzoni, so mafans watu wangu wakaribu fanyeni kukaa katka mkao wa kula. Kazi yenyewe nimefanikiwa kushirikiana na kakangu SULTAN WA PWANI, ni msanii ambaye ana uwezo wa sauti talent anayo sio kubahatisha. Ikiwa nimeifanya chini ya studio za THUNDERSOUND PRODUCER AKIWA NI MORBIZ AKA (SHERIF) so big things fi kamin.. Nashkuru kwa wote wanao nipa sapot had sasa, nikiwa na DJ-Vampaya Classic yani salut sana pipol.

1 comment:

Lawize Tz said...

Pouwa xana mwana,kaza mwanzo mwisho

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...