Monday, August 5, 2013

AMMY CHIBA ASHANGAZA MBEYA MPAKA BALAA

Ebwana eeh kama humjui anaitwa Ammy Chiba hit maker wa mapenzi maradhi iliyo mfanya kuwika sana nyanda za juu kusini  na si hilo tu kwa mujibu kutoka kwa mtu wake wakaribu wa ammy chiba mr kassim rajabu alisema kuwa ammy chiba sasa ni kati ya washiriki wa bongo star search
 kwa kifupi ammy chiba anaiwakirisha mbeya ni baada ya kuwafunika wakali wa mbeya zaidi ya 30 nakubaki pekee .pia ikumbukwe kuwa ammy chiba ndiye binti aliyewahi kuibuka mshindi katika mashindano  ya the best Female Artist yaliyofanywa na blog hii

pekee. Kutoka MBEYA Ammy Chiba aliebaki ktk shindano la BSS baada ya wenzake wa 4 wa mbeaya kutolewa inabidi tumpe surpot ili alete heshima ktk mkoa wetu wa Mbeya aibuke msindi! kwa habari zote mwanzo hadi mwisho wa safari ya Ammy Chiba ni hapa hapa kaatika blog yetu pendwa



No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...