Thursday, October 3, 2013

(news)Epiq Bongo Star Search

Jina: Amina Chibaba
Umri: 22
Kazi: Mwanamziki
Makazi: Mbalizi, Mbeya.
Maelezo: Hii ni mara ya kwanza kushiriki EBSS. Anachukia sana ugomvi. Anapenda kukaa katika mazingira ya furaha na amani. Ilikuwa ngumu kushiriki EBSS kwani familia yake ilimuwekea vikwazo vingi sana lakini hapo baadae wakamuelewa na kumuacha afanye kile anachopenda. Kachaguliwa kuingia Top 12, anadhani safari yake bado ni ndefu sana kwenye EBSS.

No comments:

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...